FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara

VIDEO Mkanda Mzima Hali ilivyo Sakata la Tanzania na Kenya Kuzuia Ndege


Hivi karibuni Kenya imetaja baadhi Mataifa ambayo ndege zake zinaruhusiwa kuingia na kutua katika viwanja vya ndege vya nchi hiyo. Mamlaka ya viwanja vya ndege hapa nchini TCAA nayo jana imetoa taarifa za kusitisha kuingia na kutua kwa ndege za shirika la ndege la Kenya KQ, hapa nchini hadi hapo TCAA itakapotoa taarifa nyingine.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Powered by Blogger.