FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara

Paul Makonda Kashindwa Kujizuia Katoboa Siri ya Diamond Platnumz Kwenda Kulipa Mahari

Mh Paul Makonda  Amethibitisha Mwezi Ujao Yeye Akiambatana Na Diamond Platnumz Kwenda Kutoa Mahari ,Japo Mwanamke Anayetaka Kuolewa Na Diamond Platnumz Hajawekwa Wazi Ni Yupi...Ameyasema hayo akiwa kwenye Sherehe ya harusi ya Esma Platnumz Usiku uliopita

Powered by Blogger.