FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara

Khadija Kopa Aanika SIRI za Zuchu "Ana Hasira za Haraka Haraka Sana Mwanangu"


MAMA mzazi wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuhura Othman Kopa ‘Zuchu’, Khadija Kopa amefichua siri kumhusu bintiye kwamba ana hasira za haraka pindi mtu anapomkera.

Akipiga stori mbili tatu na Risasi Vibes, Malkia huyo wa Mipasho Bongo, alisema kwamba alimlea mwanaye katika mazingira bora na ya kujituma, lakini mbali na vyote hivyo, mtoto wake amekuwa ni mtu mwenye hasira za karibu pindi inapotokea kakasirishwa.
17h
Powered by Blogger.