FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara

Stanbic yatoa miliioni 50 kwa wizara ya Afya


Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki ya Stanbic Tanzania, Bi. Desderia Mwegelo akimkabidhi Mganga Mkuu wa Serikali, Prof Abel Makubi mfano wa hundi yenye thamani ya TZS miliioni 50 ambayo ni mchango wa benki hiyo kwa kazi zinazoendeshwa na Wizara ya Afya. Aliyesimama kulia ni Mkuu wa Idara ya huduma za Biashara na Uwekezaji wa benki ya Stanbic, Bw. Manzi Rwegasira.


Powered by Blogger.