FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara

Msimu mpya wa masomo warejea,miongozo ya afya kujikinga na corona yahimizwa kufuatwa mashuleni

Shule zimefunguliwa leo na wazazi wanafuraha kubwa, kwani watoto wanarejea shule kusoma na kujiendeleza kielimu hasa shule za msingi na sekondari.
 Wazazi wakiwavusha barabra wanafunzi wanao soma katika shule ya Msingi Upendo iliyopo wilaya ya Ubugo leo jijini Dar es Salaam.
 Mwalimu akiwapoozea Watoto Uji kama inavyoonekana pichani. 

    Wanafunzi wakiteta jambo (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Mwendo wa kwenda kupanda gari.
 Mwendo wa kwenda kupanda gari.
  Wanafunzi wa Shule mbalimbali jijini Dar es Salaam wakiwa katika kituo cha Mabasi Makumbusho wilya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Wanafunzi wakiwa katika Daladala wakielekea nyumbani.(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).

 Wazazi wakiwa na watoto wao wanao soma katika Shule ya Msingi Upendo iliyopo wilaya ya Ubugo leo jijini Dar es Salaam, kama wanavyoonekana picha. (Picha zote na Emmanuel Mssaka wa Michuzi Tv)
Powered by Blogger.