FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara

Fatma Karume "Marais wa Afrika Wananichosha kwa Kuvunja Katiba za nchi"Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume  amesema marais wa Afrika wanamshangaza kwa kutendo cha kuvunja katiba za nchi.

“Marais wa Afrika wananishangaza sana. Wanafunja katiba za nchi halafu wanajihami,” aliandika Fatma katika ukurasa wake wa twitter.

Aliyataja mambo manne ambayo wanajihami nayo kuwa ni kulipa kinga ovu, kubadilisha katiba ili waendelee milele, kujaribu kumkabidhi rafiki yao urais na kuiba kura ili wasiondoke madarakani.

“Mbona wanajisumbua dawa ya yote ni kuacha kuvunja katiba tu,” aliandika Fatma
Powered by Blogger.